Nenda kwa yaliyomo

Lamborghini Huracán

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
2022 Lamborghini Huracan

Lamborghini Huracán (Kihispania: "kimbunga") ni gari la michezo lililotengenezwa na mtengenezaji wa magari wa Italia, Lamborghini, likichukua nafasi ya Gallardo ya awali yenye injini ya V10. Huracán ilifunuliwa mtandaoni Desemba 2013, ikafanya debut yake ya kimataifa kwenye Maonyesho ya Magari ya Geneva mwaka 2014 na kuingia sokoni robo ya pili ya mwaka huo[1].

  1. Estrada, Zac (20 Desemba 2013). "The Lamborghini Huracan LP610-4 Is The Most Advanced Lambo Ever". Jalopnik. Gawker Media. Iliwekwa mnamo 20 Desemba 2013.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)