Lamborghini Centenario
Mandhari
Lamborghini Centenario ni gari la michezo la toleo maalum lililotengenezwa kwa msingi wa Lamborghini Aventador. Lilizinduliwa kwenye Maonyesho ya Magari ya Geneva mwaka 2016 kuadhimisha miaka 100 ya kuzaliwa kwa mwanzilishi wa kampuni, Ferruccio Lamborghini[1].
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Joseph, Noah (1 Desemba 2015). "Lambo to mark founder's birth with limited-run supercar in Geneva". Autoblog. Iliwekwa mnamo 16 Januari 2016.
{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
| Makala bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |