Lambo la Aswan

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Lambo la Aswan

Lambo la Aswan liko katika Misri ya Kusini kwenye mto Nile. Ukuta wake uko kilomita 13 kusini ya mji wa Aswan.

Hapa maji ya Nile yazuiliwa na kuwa ziwa la Nasser linaloelekea hadi ndani ya Sudani.

Lambo lilijengwa kati ya 1960 - 1970. Shabaha yake kuu ni kuzuia mafuriko ya mto Nile yaliyohatarisha maisha ya watu kanda la mto. Tatizo lake kubwa ni ya kwamba lilivurugisha ekolojia ya mto.

Mafuriko yalileta pia matope yenye rutba yanayobaki sasa ziwani na kujaza polepole ziwa lenyewe. Maji mengi hupotea kila siku kwa njia ya uvukizaji kwa sababu uso kubwa la ziwa uko katika nchi yenye joto kali.


Africa satellite plane.jpg Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Lambo la Aswan kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.