Nenda kwa yaliyomo

Lalla Latifa Amahzoune

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Bintimfalme Hajji Lalla Latifa (alizaliwa Amahzoune; 1943/194429 Juni 2024) alikuwa mke wa Mfalme Hassan II wa Moroko, na mama wa bintimfalme Lalla Meryem, Mfalme Mohammed VI, mabintimfalme Lalla Asma na Lalla Hasna, na mwanamfalme Moulay Rachid.[1][2][3]

Latifa alizaliwa kwa jina Latifa Amahzoune mnamo mwaka 1943 au 1944 mjini Khenifra.[4]

  1. (24 July 1999). Morocco's King Hassan dies, aged 70 Archived 24 Septemba 2015 at the Wayback Machine, Independent Online (South Africa)
  2. (27 March 1989). Royal Treat for Maggie Archived 22 Julai 2016 at the Wayback Machine, Evening Times
  3. (15 February 2009). Prohibido publicar fotos de la madre de Mohamed VI (Forbidden to publish photographs of Mohamed VI's mother), El País (in Spanish)
  4. Bulletin des études arabes: (intermédiaire des arabisants) (kwa Kifaransa). Swets and Zeitlinger. 1966. uk. 29. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2 Oktoba 2023. Iliwekwa mnamo 27 Septemba 2023. Hassan ould Moha ou Hammou, Adel of the Zaïanes, Pacha de Khenifra{{cite book}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Lalla Latifa Amahzoune kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.