Laizer Classic

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Iraju Hamisi Mjege (anajulikana kama Eyo Laiza! au Laizer Classic) ni mtayarishaji wa nyimbo za lebo ya WCB Wasafi chini ya Diamond Platnumz kutoka Tanzania. Inasemekana ndiye wa kwanza nchini kutengeneza muziki namna hiyo-

Musical notes.svg Makala hii kuhusu mwanamuziki/wanamuziki fulani wa Tanzania bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Laizer Classic kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.