Nenda kwa yaliyomo

Mmung'unye

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Lagenaria)
Mmung'unye (Lagenaria spp.)
Mmung'unye
Mmung'unye
Uainishaji wa kisayansi
Himaya: Plantae (Mimea)
(bila tabaka): Angiospermae (Mimea inayotoa maua)
(bila tabaka): Eudicots (Mimea ambayo mche wao una majani mawili)
(bila tabaka): Rosids (Mimea kama mwaridi)
Oda: Cucurbitales (Mimea kama mboga)
Familia: Cucurbitaceae (Mimea iliyo na mnasaba na mboga)
Jenasi: Lagenaria
Ser.
Ngazi za chini

Spishi 6:

Mimung'unye, mimung'unya, mimumunye au mimunya ni mimea ya jenasi Lagenaria katika familia Cucurbitaceae. Matunda yao huitwa mamung'unye, mamung'unya, mamumunye au mamunya na mengi yana umbo wa chupa.