Laetitia Arries
Laetitia Arries | |
Nchi | Afrika Kusini |
---|---|
Kazi yake | Mwanasiasa |
Laetitia Heloise Arries ni mwanasiasa wa Afrika Kusini ambaye amehudumu bunge tangu mei 2019. Kabla ya kuchaguliwa katika bunge alihudumu Kama Diwani wa manispaa ya ndani George. Arries ni mwanachama wa Economis freedom fight.
Taaluma
[hariri | hariri chanzo]Arries ni mwanachama wa Economic freedom fighter. Alichaguliwa kua Diwani muwakilishi wa manispaa ya ndani ya George Agosti 216.[1]
Arries alichaguliwa bungeni kwenye uchaguzi wa mkuu uliofanyika mei 8 2019. Tarehe 22 Mei 2019 aliapishwa kuwa mbunge. Arries ni mmoja was wanting wawili was EEF kutoka George. Mbunge mwingine EEF kutoka George ni Natasha Ntlangwini.[1]
Arries alihudumu kama mjumbe mbadala wa kamati ya wizara ya makazi ya binadamu, maji na usafi was mazingira Kati ya 27 Juni 2019 na Mei 6 2020 .[2] Mei 6 2020, alikuachia mjumbe mbadala wa kamati ya wizara ya maendeleo ya jamii[2]