Ladislao Dentice
Mandhari
Ladislao Dentice (1427 – 1476) alikuwa prelati wa Kanisa Katoliki aliyehudumu kama Askofu wa Montemarano (1465–1476) na Askofu wa Lucera (1450–1476).
Tarehe 1 Julai 1450, aliteuliwa wakati wa Papa Nikolasi V kuwa Askofu wa Lucera. Tarehe 7 Oktoba 1465, wakati wa Papa Paulo II aliteuliwa kuwa Askofu wa Montemarano. Alihudumu kama Askofu wa Montemarano na Lucera hadi alipofariki mwaka 1476. [1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Eubel, Konrad (1914). HIERARCHIA CATHOLICA MEDII ET RECENTIORIS AEVI Vol II (tol. la second). Münster: Libreria Regensbergiana. ku. 195 and 181. (in Latin)
| Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |