Nenda kwa yaliyomo

La Fabrica

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

La Fábrica (au "cantera", yaani "Kiwanda") ni jina ambalo limetolewa kwa akademia ya vijana wa timu ya Real Madrid.

Chuo hicho ni kimoja kati ya vyuo vinavyochangia mafanikio ya wachezaji wengi hapa duniani.

Kwa mfano, miaka ya 1980 Real Madrid ilishinda La Liga mara tatu mfululizo, makombe mawili ya UEFA mara mbili mfululizo na zilifikia nusu fainali za UEFA: yote hayo yaliwezeshwa na wachezaji waliofunzwa na chuo cha La Fábrica.

Mfano wa wachezaji waliokuzwa na La Fabrica ni kama vile Dani Calvajal, Iker Casillas, Kiko Casilla, Raul, Lucas Vazquez, Nacho Fernandez na wengine wengi.

Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu La Fabrica kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.