Nenda kwa yaliyomo

Lê Công Vinh

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Lê Công Vinh (alizaliwa 20 Desemba 1985) ni mchezaji wa zamani wa mpira wa miguu wa Vietnam. Aliwahi kucheza timu ya taifa ya Vietnam.

Lê ameichezea timu ya taifa ya Vietnam tangu mwaka wa 2004. Lê alicheza Vietnam katika mechi 83, akifunga mabao 51.[1]

[1]

Timu ya Taifa ya Vietnam
MwakaMechiMagoli
2004107
200500
200632
2007137
2008136
200931
201011
201157
201271
201310
201498
201551
20161310
Jumla8351
  1. 1 2 Lê Công Vinh at National-Football-Teams.com
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Lê Công Vinh kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.