Léon Mugesera
Mandhari
Léon Mugesera (alizaliwa 1952) ni mhalifu aliyekutwa na hatia ya mauaji ya kimbari kutoka Rwanda ambaye alikaa nchini Quebec, Kanada. Alifukuzwa kutoka Kanada kwa kutoa hotuba ya uchochezi dhidi ya Watutsi, ambayo wapinzani wake wanadai ilikuwa ni kichocheo cha Mauaji ya Kimbari ya Rwanda ya 1994. Mwaka 2016, alikutikana na hatia ya uchochezi wa mauaji ya kimbari na alihukumiwa kifungo cha maisha.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Décary J.A.; Létourneau J.A.; Pelletier J.A. "Dockets: A-316-01 and A-317-01: Leon Mugesera, Gemma Uwamariya, Irenée Ruteman, Yves Rusi, Carmen Nono, Mireille Urumuri And Marie-Grâce Hoho vs. The Minister Of Citizenship And Immigration" (PDF). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo (PDF) mnamo 2009-03-31. Iliwekwa mnamo 2012-07-19.
![]() |
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Léon Mugesera kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |