Léon-Adolphe Amette
Mandhari
Léon Adolphe Amette (6 Septemba 1850 Douville-sur-Andelle, Eure – 29 Agosti 1920 Antony, Hauts-de-Seine) alikuwa Kardinali wa Kanisa Katoliki kutoka Ufaransa na Askofu Mkuu wa Paris kuanzia mwaka 1908 hadi 1920.
Alifanywa kuwa kardinali mnamo 1911 kwa cheo cha kardinali padre na jina la S. Sabina. Alishiriki katika mkutano wa uchaguzi wa Papa wa 1914 ambao ulimchagua Papa Benedikto XV. Alizindua Basilika la Sacré-Cœur mnamo 1919.
![]() |
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |