L'Hospitalet de Llobregat
Mandhari
L'Hospitalet de Llobregat ni mji wa Hispania, katika mkoa wa Barcelona.
Mwaka 2019 wakazi wake walikuwa 264,923 [1] na kuufanya wa kumi na sita nchini kwa wingi wa watu.
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]![]() |
Makala hii kuhusu maeneo ya Hispania bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu L'Hospitalet de Llobregat kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |