Nenda kwa yaliyomo

Kyrie Kristmanson

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kyrie Kristmanson(alizaliwa mwaka 1989 au 1990) ni mwimbaji, mtunzi wa nyimbo, mpiga gitaa na mpiga trumpet kutoka Kanada. Alizaliwa katika Ottawa, Ontario.[1][2]

  1. "Kyrie Kristmanson performs with Art of Time ensemble". Toronto Star, 14 December 2007.
  2. "Kyrie Kristmanson and the Afiara Quartet". CBC Radio 2, 27 July 2010.
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kyrie Kristmanson kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.