Nenda kwa yaliyomo

Kyla-Rose Smith

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kyla-Rose Smith (alizaliwa 10 Septemba 1982) ni mpiga fidla, mwimbaji, na dansi wa Afrika Kusini,

Yeye ni mwanachama wa zamani wa kundi la muziki wa hip hop Tumi and the Volume, na wa kundi la densi la Vuyani Dance Theatre. Aliondoka Vuyani Dance Theatre mwaka wa 2003 alipoamua kujiunga na Freshlyground. [1]

Smith alikulia katika kitongoji cha Johannesburg pamoja na kaka yake (Tymon) na dada yake (Sydelle). Baadaye alipata mafunzo ya uigizaji wa muziki katika Chuo Kikuu cha Cape Town. [2]

  1. ↑ "The Band". www.freshlyground.com. Iliwekwa mnamo 11 Oktoba 2012.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. ↑ "The Band". www.freshlyground.com. Iliwekwa mnamo 11 Oktoba 2012.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)