Nenda kwa yaliyomo

Kwesi Akwansah Andam

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kwesi Akwansah Andam (15 Desemba 194614 Desemba 2007) alikuwa msomi wa Ghana na aliyekuwa Makamu Mkuu wa Chuo cha Sayansi na Teknolojia cha Kwame Nkrumah (KNUST).[1] Alikuwa profesa wa uhandisi.Andam alifariki dunia mnamo tarehe 14 Desemba 2007 katika Hospitali ya Kijeshi ya 37.

  1. "Prof Kwesi Andam buried". modernghana.com. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 12 Oktoba 2012. Iliwekwa mnamo 20 Julai 2011.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kwesi Akwansah Andam kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.