Nenda kwa yaliyomo

Kwarto (Biblia)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mt. Kwarto na wenzake katika mchoro mdogo.

Kwarto (jina la Kilatini: Quartus, lenye maana ya "Wa nne") alikuwa mwanamume Mkristo wa karne ya 1 aliyetajwa na Mtume Paulo katika Waraka kwa Warumi 16:23.

Inasemekana alipata kuwa askofu na kuteswa kwa ajili ya imani.

Tangu kale anaheshimiwa na Waorthodoksi na Waorthodoksi wa Mashariki kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 10 Novemba.

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mtu wa Biblia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kwarto (Biblia) kama habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.