Kwaku Dua II
Mandhari
Kwaku Dua II Kumaa (pia huitwa Kwaku Dwa II Kumaa) alikuwa Asantehene (mtawala wa Ufalme wa Ashanti) kuanzia tarehe 28 Aprili 1884 hadi 11 Juni 1884 katika eneo ambalo leo ni Ghana.
Utawala wake haukudumu hata robo mwaka kwani alifariki kwa ugonjwa wa ndui. Kifo chake cha ghafla kilisababisha vita vya wenyewe kwa wenyewe vilivyodumu kwa miaka kadhaa, ambavyo vilimalizika mwaka 1888 wakati mrithi wake Agyeman Prempeh alipochukua madaraka.[1]
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Basil Davidson: A History of West Africa. 1000 – 1800. New revised edition, 2nd impression. Longman, London 1977, ISBN 0-582-60340-4 (The Growth of African Civilisation)
| Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kwaku Dua II kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |