Kuukua Eshun
Mandhari
Kuukua Eshun ni mwongozaji wa filamu kutoka Ghana na Marekani, msanii na mwandishi. Kuukua aliongeza ufahamu kuhusu masuala ya kijamii na afya ya akili kupitia uandishi wake na filamu.[1][2] Yeye ndiye mwanzilishi mwenza wa Boxedkids. [3]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "KuuKua" (kwa American English). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 26 Juni 2020. Iliwekwa mnamo 2020-06-23.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Kuukua Eshun: Let's Talk About Mental Health Within The African Community". Modern Ghana (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2020-06-23.
- ↑ Gyasi, Prince. "Boxed Kids: Accra, Ghana". Suitcase Magazine (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2020-06-23.