Uuaji wa Antonio Martin

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Kuuawa kwa Antonio Martin)

Antonio Martin alipigwa risasi mnamo Desemba 23, 2014, huko Berkeley, Missouri, kitongoji cha St.Louis.

Antonio Martin, mvulana mweusi mwenye umri wa miaka 18, aliuawa kwa kupigwa risasi na afisa wa kizungu wa Berkeley[1]. Ufyatuaji risasi huo ulisababisha maandamano katika eneo la St.Louis[2].

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Killing of Antonio Martin", Wikipedia (in English), 2022-07-12, retrieved 2022-07-30 
  2. "Shooting of Michael Brown", Wikipedia (in English), 2022-07-20, retrieved 2022-07-30