Nenda kwa yaliyomo

Kurt Vonnegut

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Vonnegut ameketi
Vonnegut, 1965

Kurt Vonnegut (Novemba 11, 1922 Aprili 11, 2007) alikuwa mwandishi nchini Marekani alijulikana kwa riwaya zake zenye kejeli na ucheshi wa giza. Kazi yake iliyochapishwa ilijumuisha riwaya kumi na nne, makusanyo matatu ya hadithi fupi, tamthilia tano, na kazi tano za hadithi za ukweli kwa zaidi ya miaka hamsini; kazi zaidi zimechapishwa tangu kifo chake.[1]

  1. "Kurt Vonnegut". Britannica. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo Aprili 26, 2022. Iliwekwa mnamo Aprili 26, 2022.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kurt Vonnegut kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.