Uuaji wa Yoshihiro Hattori

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Yoshihiro Hattori (服部 剛丈, Hattori Yoshihiro, alizaliwa Novemba 1975, wengi walimjua kama Yoshi Hattori) alikuwa mwanafunzi wa Japani mwenye mpango wa kubadilishana na Marekani. Kijana huyo aliuawa kwa kupigwa risasi huko Baton Rouge, Louisiana. Hilo tukio lilitokea wakati Hattori, akielekea kwenye sherehe ya Halloween, alikwenda kwenye nyumba isiyofaa kwa makosa. Mmiliki wa nyumba hiyo Rodney Peairs alimpiga risasi Hattori na kumuua, akifikiri ni mwizi. Kupigwa risasi na kuachiliwa kwa Peairs kuliwapa watu umakini.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Uuaji wa Yoshihiro Hattori kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.