Nenda kwa yaliyomo

Kupalizwa kwa Musa

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kupalizwa kwa Musa (pia: Wasia wa Musa) ni kitabu cha kale kilichoandikwa kwa mtindo wa kiapokalipti lakini hakikukubaliwa kama Neno la Mungu. Kiliandikwa na Myahudi katika karne ya 1 kikidai kusimulia matabiri ya siri ya Musa kwa Yoshua kuhusu historia ya Israeli na mwisho wa nyakati[1].

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
  • Tromp, Johannes (1997) The Assumption of Moses: A Critical Edition With Commentary Brill Academic Publishers. ISBN 90-04-09779-1
  • J. Priest Testament of Moses, a new Translation and Introduction in ed. James Charlesworth The Old Testament Pseudepigrapha, Vol 1 ISBN 0-385-09630-5 (1983)
  • D. Maggiorotti Testamento di Mosè in ed. P.Sacchi Apocrifi dell'Antico Testamento Vol 4 ISBN 88-394-0587-9 (2000)
  1. Reddish, Mitchell Glenn (1995). Apocalyptic literature : a reader. Hendrickson Pub. ISBN 1565632109. OCLC 34877180.

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu kitabu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kupalizwa kwa Musa kama Mwandishi wake, hadithi au matoleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.