Nenda kwa yaliyomo

Kuogelea

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Michael Phelps, mmoja kati ya waogeleaji bora.

Kuogelea (kutoka kitenzi "kuoga") ni tendo la kujilaza juu ya maji na kutumia mikono na miguu kuyapiga ili kuelea bila kuzama.

Watu walijifunza mapema kuogelea na michoro ya miaka 10,000 iliyopita inatoa uthibitisho. Baadaye burudani ikawa mchezo.

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]