Kunyanzi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Kunyanzi usoni mwa Mhindi.

Kunyanzi (kwa Kiingereza: "wrinkles") ni mikunjo inayotokana na uzee hasa katika uso. Kunyanzi pia zaweza kuwepo katika mwili wote.

Kunyanzi huonekana kwa wazee waliotimiza umri mkubwa. Husababishwa pia na kulala vibaya, kuchomwa na jua, kukasirika na kukunja sura au ngozi kutokuwa na unyevu wa kutosha.

Kuhakikisha kwamba umekunywa maji ya kutosha kutasaidia kuondoa kunyanzi.

Kunyanzi zaweza kuondolewa kwa operesheni ya plastic surgery ingawa ina gharama kubwa.

Pia wanawake hupenda kutumia decollate pads kuondoa kunyanzi zilizo katika kifua.

Makala hii kuhusu mambo ya tiba bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kunyanzi kama sababu yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.