Kungu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Makungu

Kungu kwa kisambaa maana yake ni mwamba mkubwa. Lakini kungu kwa kiswahili ni aina ya tunda ambalo likikomaa hukaushwa na wanasichana wengi wanapenda sana kulitafuna. Na wanapolitafuna mara macho yao hugeuka na kuwa mekundu kidogo na wanasema linawapa nishai kidogo. Hili ni tunda la mkungu (Terminalia catappa).

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

WikiMedia Commons
WikiMedia Commons
Makala hii kuhusu mmea fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kungu kama uainishaji wake wa kibiolojia, uenezi au matumizi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.