Kulikoyela Kahigi
Mandhari
| Tarehe ya kuzaliwa | 4 Agosti 1950 |
|---|---|
| Mahali pa kuzaliwa | Tanganyika |
| Taifa | Mtanzania |
| Chama cha kisiasa | CHADEMA |
| Elimu | Chuo Kikuu cha Dar es Salaam Michigan State University (PhD) |
| Wadhifa | Mbunge wa Bukombe (kuanzia Novemba 2010) |
| Mtangulizi | Emmanuel Luhahula |
Prof. Kulikoyela Kanalwanda Kahigi (alizaliwa 4 Agosti 1950) ni mwanasiasa wa Tanzania wa CHADEMA na alikuwa Mbunge wa jimbo la Bukombe kati ya mwaka 2010 hadi 2015. Sasa amerejea kwenye Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, akifundisha lugha katika Taasisi ya Uchunguzi wa Kiswahili.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Member of Parliament CV". Parliament of Tanzania. 2010. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2013-11-03. Iliwekwa mnamo 1 Novemba 2013.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
| Makala hii kuhusu kuhusu mwanasiasa wa Tanzania bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kulikoyela Kahigi kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |