Kula Kangri

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Ramani Ya Mlima Kula Kangri

Kula Kangri ni mlima mrefu, wenye kimo cha m 7,554 juu ya usawa wa bahari. Ni sehemu ya safu ya milima ya Himalaya.

Uko nchini China (Tibet).

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu maeneo ya Asia bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Kula Kangri kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.