Kuishi vizuri
Makala hii au sehemu ya makala hii inahitaji masahihisho kwa upande mmoja wa zifuatazo:
|
Iwe unamawazo kuhusu kazi, masuala ya mahusiano, sote tunaweza kutumia usaidizi fulani kwa afya yetu ya akili mara kwa mara. Mabadiliko yanaweza kuwa magumu, na kukaa sawa huchukua muda kidogo lakini kwa fikra sahihi, mikakati sahihi, na usaidizi sahihi, na kujifunza kila siku kunaweza kusaidia kubadilisha hali ya maisha. Haijalishi ni nini kinakusumbua kwa sasa, au ni nini unapitia, nyenzo hizi zinaweza kukusaidia kuchukua hatua kuu katika safari yako ya afya ya akili.
Madhara ya Stress
[hariri | hariri chanzo]Unapofadhaika sana, unaweza kupata dalili kama vile
Uchovu
Kukosa nguvu
Kusahau mara kwa mara
kushindwa kuzingatia
Maumivu ya kichwa
mvurugiko wa tumbo
Kuvimbiwa au kuhara
Maumivu ya mwili mara kwa mara
Ugumu/Maumivu katika shingo au taya
kuongezeka uzito ghafla
kukosa usingizi au kulala kupita kiasi
Matumizi ya vitu kama vile pombe au dawa za kulevya ili kupata usingizi[1]
Namna ya kupunguza msongo wa mawazo.
[hariri | hariri chanzo]Tambua chanzo cha msongo wa mawazo, Boresha ujuzi wako wa kusimamia muda, Pata shughuli za kuuweka mwili bize, pata muda wa kukaa na wapendwa, Epuka kutumia vilevi ili kujisikia vizuri, tafuta msaada wa kitaalam[2].
- ↑ "How to Be Less Stressed". Verywell Mind (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2025-02-16.
- ↑ "How to Be Less Stressed". Verywell Mind (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2025-02-16.