Kuingiza historia mpya

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Historia kuhusu kijiji cha KILINDI.Kijiji hicho kipo kataya mtiri wilaya ya mbinga mkoa wa RUVUMA(SONGEA).KIJIJI Hicho kina makabila kama:WANGONI,WANYASA,WAMANDA,WAPANGWA Na WAMATENGO.Kipo kilometa 17 kutoka katani MATIRI na kilometa 25 kutoka ZIWA NYASA-Ziwa nyasa lipo maghalibi mwa KILINDI.Wana kijiji wa kilindi wanalima mazao kama:mahindi.maharage,ulezi,arizeti,mihogo,ulezi,soya nk.. Wakati wa vita vya majimaji katiya wakazihawa na wajerumani mwaka 1905 wanakijijihawa walichimba handaki kubwa ambalo wakazi wote walijificha humo na mifugo yao.LILI ITWA LILINDI(kwa kinyasa)KILI`ENDU (Kwawale wenye rafudhi ya kingoni)Nchi ya TANZANIA ilipopata uhuru mpango wa vijiji ukaa nza ndipojina la kijiji hiki likawa KILINDI(chamaji)badala SHIMO ambayo ni maana halisi yajina hilo.IMEWEKWA NA ISAYA MJUKUU WA KAPUSANGA-MHIWILA.