Kuchanyika (Hyliidae)
Mandhari
Kuchanyika | ||||||||||||||
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
Uainishaji wa kisayansi | ||||||||||||||
| ||||||||||||||
Ngazi za chini | ||||||||||||||
Jenasi 2:
|
Spishi kadhaa za kuchanyika ni ndege wadogo wa familia Hyliidae. Nyingine ni wana wa familia Cettiidae.
Spishi
[hariri | hariri chanzo]- Hylia prasina, Kuchanyika Kijani (Green Hylia)
- Pholidornis rushiae, Kuchanyika Kabumbu (Tit-hylia)
Picha
[hariri | hariri chanzo]-
Kiota cha kuchanyika kabumbu