Kubadilishana Mateka wa Vita

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kubadilishana mateka,  ni makubaliano kata ya pande mbili zinazokizana kwa ajili ya kuwaachilia huru mateka wa vita, aidha wapelelezi, wafungwa na mda mwingine miiliya waliofariki vitani.[1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Kershner, Isabel (2008-07-17), "Yielding Prisoners, Israel Receives 2 Dead Soldiers", The New York Times (kwa en-US), ISSN 0362-4331, iliwekwa mnamo 2022-08-16