Nenda kwa yaliyomo

Krzysztof Józef Nykiel

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Krzysztof Józef Nykiel (alizaliwa 28 Februari 1965) ni regenti wa Penitensia ya Kitume, ambaye aliteuliwa kwa wadhifa huo na Papa Benedikto XVI tarehe 26 Juni 2012.

Kabla ya hapo, alihudumu kama afisa wa Idara ya Fundisho la Imani.[1]

  1. "Rinunce e nomine".
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.