Kristina Maria
Mandhari
Kristina Maria Chalhoub (alizaliwa katika Ottawa, Ontario, 14 Mei, 1989) ni mwimbaji na mtunzi wa nyimbo wa muziki wa pop kutoka Kanada.[1][2]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Juno nomination comes as big surprise for Ottawa singer Kristina Maria" Archived 2 Aprili 2018 at the Wayback Machine. Metro Ottawa, Joe Lofaro, 20 February 2013
- ↑ "Kristina Maria stays single-minded". Brendan Kelly, Montreal Gazette, 15 August 2014
| Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kristina Maria kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |