Kriengsak Kovitvanit
Mandhari
Francis Xavier Kriengsak Kovitvanij (alizaliwa 27 Juni 1949) ni kardinali wa Kanisa Katoliki kutoka Uthai. Alihudumu kama Askofu Mkuu wa Bangkok kuanzia mwaka 2009 hadi 2024.
| Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |