Krefeld

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mji wa Krefeld






Krefeld

Bendera

Nembo
Krefeld is located in Ujerumani
Krefeld
Krefeld

Mahali pa mji wa Krefeld katika Ujerumani

Majiranukta: 51°20′0″N 6°34′0″E / 51.33333°N 6.56667°E / 51.33333; 6.56667
Nchi Ujerumani
Majimbo Rhine Kaskazini-Westfalia
Idadi ya wakazi (2009)
 - Wakazi kwa ujumla 235,414
Tovuti:  www.krefeld.de

Krefeld ni mji wa Rhine Kaskazini-Westfalia nchini Ujerumani. Iko kando ya mto Rhine. Idadi ya wakazi wake ni takriban 235,414. Mji ulianzishwa 1105.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu maeneo ya Ujerumani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Krefeld kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.