Kozue Ando

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Kozue Ando

Kozue Ando (alizaliwa 9 Julai 1982) ni mchezaji wa mpira wa miguu nchini Japani. Ando sasa anacheza mpira katika klabu ya wanawake ya Urawa Reds . Awali alicheza katika timu ya taifa ya Japani kabla ya kustaafu mwaka 2015.[1]


Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. USA v Japan - as it happened. The Guardian (17 July 2011).
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kozue Ando kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.