Kourou

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kourou
Majiranukta: 5°09′35″N 52°39′01″W / 5.15972°N 52.65028°W / 5.15972; -52.65028
Nchi Ufaransa
Mkoa Guyani ya Kifaransa
Wilaya Guyani ya Kifaransa
Idadi ya wakazi
 - Wakazi kwa ujumla 23,813
Tovuti:  www.kourou.info
Muonekano wa mji wa Kourou.

Kourou ni mji wa Kifaransa katika mkoa wa Guyani, kwenye bara la Amerika Kusini.

Huko kuna Kituo cha kurushia vyombo vya anga-nje cha Umoja wa Ulaya ambako roketi za kubeba satelaiti zinarushwa.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

WikiMedia Commons
WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu maeneo ya Ufaransa bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Kourou kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Makala hii kuhusu maeneo ya Amerika Kusini bado ni mbegu.