Nenda kwa yaliyomo

Koumbou Boly Barry

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Koumbou Boly Barry ni mwanasiasa kutoka Burkina Faso aliyewahi kuwa Waziri wa Elimu na Ufasihi wa Burkina Faso. Tangu mwaka 2016, amekuwa Mkurugenzi Maalum wa Umoja wa Mataifa kuhusu haki ya elimu.[1]

Boly Barry alipata shahada yake ya uzamili (doctorate) katika historia ya uchumi kutoka Chuo Kikuu cha Cheikh Anta Diop huko Dakar, Senegal. Alikuwa waziri katika baraza la mawaziri la Luc-Adolphe Tiao.[2]

  1. ↑ "Koumbou Boly Barry". Office of the United Nations Human Rights Commissioner.
  2. ↑ "ICAO Council President receives Prime Minister of Burkina Faso". ALN News. 18 Juni 2014.{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Koumbou Boly Barry kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.