Nenda kwa yaliyomo

Kosma II wa Aleksandria

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kosma II wa Aleksandria (alifariki 30 Novemba 858) kuanzia mwaka 851 hadi kifo chake alikuwa Patriarki wa 54 wa Aleksandria (Misri).

Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu[1].

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 30 Novemba.

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
  1. Morgan, Robert (2016-09-21). History of the Coptic Orthodox People and the Church of Egypt (kwa Kiingereza). FriesenPress. uk. 212. ISBN 978-1-4602-8027-0.
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.