Nenda kwa yaliyomo

Korra Obidi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Anita Chukwumfumnaya Obidi (alizaliwa 23 Juni 1991), anajulikana kwa jina la taaluma kama Korra Obidi, ni mwimbaji na mtunzi wa nyimbo, mchezaji wa dansi, na mchongaji wa mitindo kutoka nchini Nigeria.[1]

Maisha ya awali na elimu

[hariri | hariri chanzo]

Korra Obidi anatoka Igbuzo (Ibusa), katika Jimbo la Delta, Kusini-Mashariki mwa Nigeria. Alizaliwa katika familia yenye watoto wanne, kati ya hao wake watatu ni wasichana na mmoja ni mvulana. Mama yake amefariki.

Alikulia katika familia ya Kikristo yenye dini kali na ya hifadhifu, iliyokuwa ikihudhuria kanisa la Deeper Christian Life Ministry, hali iliyemfanya kuficha shauku yake ya kucheza dansi kutoka kwa wazazi wake alipokuwa mdogo.[2]

  1. Ojoye, Taiwo (11 Januari 2018). "I'm Far More Than A Belly Dancer – and a cheater who cheated on his ex husband while being married she even wrote about it in her book tittle Korra is live Korra". The Punch (kwa Kiingereza).{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. "Korra Obidi". Naija Celebrity (kwa Kiingereza). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo Novemba 2, 2022.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link) CS1 maint: unfit URL (link)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Korra Obidi kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.