Korongo (Bovidae)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Pitio kulingana na tarehe 21:18, 5 Desemba 2014 na ChriKo (majadiliano | michango) (Sahihisho la jina)
Korongo
Dume la korongo (Hippotragus equinus)
Dume la korongo
(Hippotragus equinus)
Uainishaji wa kisayansi
Himaya: Animalia (Wanyama)
Faila: Chordata (Wanyama wenye ugwe wa neva mgongoni)
Ngeli: Mamalia (Wanyana wenye viwele wanaonyonyesha wadogo wao)
Oda: Artiodactyla (Wanyama wenye vidole viwili au vinne mguuni)
Nusuoda: Ruminantia (Wanyama wanaocheua)
Familia: Bovidae (Wanyama walio na mnasaba na ng'ombe)
J. E. Gray, 1821
Nusufamilia: Hippotraginae (Wanyama wanaofanana na korongo)
Brooke, 1876
Jenasi: Hippotragus (Korongo)
Harris, 1838
Ngazi za chini

Spishi 3:

H. equinus Desmarest, 1804
H. leucophaeus (Pallas, 1766)
H. niger Harris, 1838

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Korongo au kolongo ni spishi ya kawaida zaidi ya jenasi Hippotragus katika familia Bovidae. Spishi nyingine inaitwa palahala au mbarapi. Hawa ni wanyama wakubwa ambao wanatokea savana za Afrika zenye miti. Rangi ya madume ni kahawia hadi nyeusi, rangi ya majike ni kahawia. Kuna mabaka meusi na meupe kichwani, lakini hayaonekani sana kwa korongo buluu; tumbo ni jeupe. Dume na jike wana pembe ndefu zilizopindika kuelekea nyuma ambazo urefu wao unaweza kufika mita moja au zaidi lakini fupi zaidi kwa jike. Wanyama hawa hula manyasi marefu kiasi.

Spishi

Picha

Makala hii kuhusu mnyama fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Korongo (Bovidae) kama uainishaji wake wa kibiolojia, maisha au uenezi wake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Ili kupata maelezo kuhusu masanduku ya uanapwa ya spishi angalia: Wikipedia:WikiProject Mammals/Article templates/doc.