Konya

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Pitio kulingana na tarehe 06:34, 14 Machi 2013 na Legobot (Majadiliano | michango) (Bot: Migrating 2 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q79857 (translate me))
Jump to navigation Jump to search

Konya (Kiosmani Kituruki: قونیه; pia Koniah, Konieh, Konia, na Qunia; kihistoria pia unajulikana kama Iconium (Kilatini), Kigiriki: Ἰκόνιον Ikónion) ni mji uliopo nchini Uturuki. Mji huu upo katikati ya mkoa wa Anatolia. Mji una wakazi wapatao 1,412,343 (kwa hesabu ya mwaka wa 2007). Mji upo mita 1,200 kutoka juu ya usawa wa bahari. Huu ni mji mkuu wa Jimbo la Konya.

Marejeo

Viungo vya Nje

Commons-logo.svg
Wikimedia Commons ina media kuhusu:


Turkey stub.png Makala hii kuhusu maeneo ya Uturuki bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Konya kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.