Kongoni

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Pitio kulingana na tarehe 15:47, 9 Agosti 2015 na Matiia (majadiliano | michango) (Masahihisho aliyefanya 41.222.180.102 (Majadiliano) yalirejeshwa hadi sahihisho la mwisho na Rberetta)
Kongoni
Kongoni mashariki (Alcelaphus buselaphus cokii)
Kongoni mashariki
(Alcelaphus buselaphus cokii)
Uainishaji wa kisayansi
Himaya: Animalia (Wanyama)
Faila: Chordata (Wanyama wenye ugwe wa neva mgongoni)
Ngeli: Mamalia (Wanyana wenye viwele wanaonyonyesha wadogo wao)
Oda: Artiodactyla (Wanyama wenye vidole viwili au vinne mguuni)
Nusuoda: Ruminantia (Wanyama wanaocheua)
Familia: Bovidae (Wanyama walio na mnasaba na ng'ombe)
J. E. Gray, 1821
Nusufamilia: Alcelaphinae (Wanyama wanaofanana na kongoni)
Brooke, 1876
Jenasi: Alcelaphus (Kongoni)
de Blainville, 1816
Ngazi za chini

Spishi 3:

A. buselaphus Pallas, 1766
A. caama (Geoffroy Saint-Hilaire, 1803)
A. lichtensteinii Peters, 1849

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kongoni ni wanyamapori wakubwa wa jenasi Alcelaphus katika familia Bovidae. Kwa asili jina hili lilitumika kwa nususpishi A. buselaphus cokii lakini siku hizi spishi na nususpishi zote za Alcelaphus huitwa kongoni. Wanatokea savana za Afrika tu. Rangi yao ni ya mchanga lakini tumbo na matako ni nyeupe. Wana kichwa kirefu na pembe zao zimepindika na zina umbo wa zeze zikionwa kutoka mbele. Wanyama hawa hula manyasi.

Spishi

Picha

Makala hii kuhusu mnyama fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kongoni kama uainishaji wake wa kibiolojia, maisha au uenezi wake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Ili kupata maelezo kuhusu masanduku ya uanapwa ya spishi angalia: Wikipedia:WikiProject Mammals/Article templates/doc.