Kolos Ferenc Vaszary
Mandhari
Kolos Ferenc Vaszary, O.S.B. (Keszthely, Hungaria, 12 Februari 1832 – Balatonfüred, Hungaria, 3 Septemba 1915) alikuwa kardinali wa Kanisa Katoliki na Askofu Mkuu wa muda mrefu wa kiti cha heshima cha Esztergom katika Dola la Austro-Hungaria.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]| Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |