Nenda kwa yaliyomo

Kokichi Mikimoto

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Kokichi Mikimoto (御木本 幸吉; Mikimoto Kōkichi; 25 Januari 1858 – 21 Septemba 1954) alikuwa mfanyabiashara wa Japani anayesifika kwa kuhusishwa na uundaji wa kwanza wa cultured pearl (lulu za kufugwa kwa njia ya kisayansi) na kuanzisha sekta ya biashara ya lulu za kufugwa kupitia kampuni yake ya kifahari ya Mikimoto.

Kokichi Mikimoto alichangia pakubwa katika maendeleo ya tasnia ya lulu kwa kuendeleza mbinu ya kuzalisha lulu kwa njia ya kudhibitiwa badala ya kuzitafuta baharini pekee. Mbinu hii ilibadilisha kabisa soko la lulu duniani na kufanya lulu kupatikana kwa wingi zaidi.

Kupitia kampuni yake ya Mikimoto, aliweka msingi wa biashara ya kimataifa ya lulu za kifahari, ambazo hadi leo zinahusishwa na Aliingizwa katika Nyumba ya Mabwana (House of Peers) kwa amri ya kifalme, na baadaye akatunukiwa kwa heshima ya juu ya Grand Cordon ya Order of the Sacred Treasure baada ya kifo chake.[1]

Tarehe 18 Aprili 1985, Japan Patent Office ilimchagua kuwa miongoni mwa Ten Japanese Great Inventors.[2][1] ubora na hadhi ya juu.

  1. 1 2 [(https://web.archive.org/web/20120228074359/http://www.mikimoto-cosme.com/en/company/history.html) "Philosophy and History – Company Information"]. Mikimoto Cosmetics. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka [(http://www.mikimoto-cosme.com/en/company/history.html) chanzo] mnamo 28 Februari 2012. Iliwekwa mnamo 9 Desemba 2011. {{cite web}}: Check |archive-url= value (help); Check |url= value (help)
  2. [(https://www.jpo.go.jp/e/introduction/rekishi/10hatsumeika/) "Ten Japanese Great Inventors"]. Japan Patent Office. {{cite web}}: Check |url= value (help)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kokichi Mikimoto kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.