Koca Mehmed Nizamüddin Pasha
Mandhari
Osmancıkli (au Amasyali) Koca Mehmed Nizamüddin Pasha (alifariki 1439) alikuwa mwanasiasa wa Milki ya Osmani aliyehudumu kama waziri mkuu wa dola hilo kuanzia 1429 hadi 1438.
Baada ya kuhudumu kama waziri mkuu, alikaa Osmancık na pale akafariki mwaka 1439. Alikuwa mwana wa Imamzade Halil Pasha, ambaye pia alikuwa waziri mkuu wa Dola la Osmani.[1]
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]- ↑ İsmail Hâmi Danişmend, Osmanlı Devlet Erkânı, Türkiye Yayınevi, İstanbul, 1971, p. 9. (Turkish)
| Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Koca Mehmed Nizamüddin Pasha kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |