Nenda kwa yaliyomo

Klavdiya Gadyuchkina

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Klavdiya Mikhailovna Gadyuchkina ( alizaliwa 5 Desemba 1910) ni mzee wa Kirusha kutoka Urusi. Ameekuwa mzee aliyehai mwenye umri mkubwa zaidi nchini Urusi tangu 12 Novemba 2022 na pia ndiye mzee wa kike mwenye umri mkubwa zaidi kuwahi kuwepo nchini Urusi tangu 13 Aprili 2024. [1][2]

  1. "«Жила и никому зла не делала»: 113-летняя жительница Ярославля раскрыла секрет долголетия". 76.ru (kwa Kirusi). 25 Novemba 2022. Iliwekwa mnamo 9 Januari 2025.{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. Лиходедова, Анастасия (25 Novemba 2019). "Надо любить людей: ярославская пенсионерка рассказала, как дожила до 110 лет". Iliwekwa mnamo 9 Januari 2025.{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Klavdiya Gadyuchkina kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.