Klaus Kinski

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Klaus Kinski
Klaus Kinski
Klaus Kinski
Jina la kuzaliwa Nikolaus Karl Günther Nakszyński
Alizaliwa 18 Oktoba 1926
Poland
Kafariki 23 Novemba 1991, Marekani
Jina lingine Klaus Kinski
Kazi yake Mwigizaji
Miaka ya kazi 1948 mpaka 1989

Klaus Kinski (18 Oktoba 192623 Novemba 1991) alikuwa mwigizaji wa filamu wa Ujerumani. Alifahamika sana kwa uwezo wake mkubwa wa kiigizaji katika kiwambo, na ukemeaji wake wa kiukali. Kinski ameigiza zaidi ya filamu 180. Kinski pia aliwahi kushiriki katika filamu za western za Italia, maarufu kama Spaghetti Western.

Filamu alizocheza[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Ona pia[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]

Wikiquote ina mkusanyiko wa dondoo kuhusu:
Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Klaus Kinski kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.