Klaus Iohannis

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Klaus Werner Iohannis (amezaliwa 13 Juni 1959) ni mwanasiasa wa Kiromania ambaye amekuwa Rais wa Romania tangu 21 Desemba 2014.

Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Klaus Iohannis kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.